Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 10:36

Wakenya washeherekea sikukuu ya mashujaa


Kenya yaadhimisha Sikukuu ya Mashujaa
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:48 0:00

Kenya yaadhimisha Sikukuu ya Mashujaa

Mamia ya wafanyakazi wa Kenya Jumatano wametembea hadi katika uwanja wa Wangu’ru, kaunti ya Kirinyaga, katika kusherehekea sikukuu ya mashujaa.

Rais Uhuru Kenyata ameongoza maadhimisho ya sikukuu hii.

Wakati huohuo Rais wa Malawi Lazarus Chakwera yuko nchini Kenya na anahudhuria tukio hilo.

Katika sherehe hizi kwa kawaida Wakenya wanawakumbuka mashujaa waliopigana vita vya uhuru kumng’oa mkoloni Mwingereza.

Lakini maadhimisho yameongezwa na kutambua watu walio na mchango mkubwa katika nchi kwenye sekta mbalimbali ikiwemo michezo, dawa, elimu mingoni mwa nyinginezo.

Hii ni mara ya kwanza katika historia kwamba sherehe zinafanyika katika kaunti ya Kirinyaga.

XS
SM
MD
LG