No media source currently available
Wabunge wa Somalia wanatarajiwa kupiga kura Jumapili kumchagua rais wa nchi hiyo na hivyo kumaliza mvutano wa kisiasa uliodumu kwa zaidi ya mwaka moja.