Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 28, 2023 Local time: 10:49

Waandamanaji wapaza sauti kushinikiza mageuzi katika jeshi la polisi Marekani


Waandamanaji wapaza sauti kushinikiza mageuzi katika jeshi la polisi Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wito wa mageuzi katika jeshi la polisi umeongezeka baada ya maafisa watano mjini Memphis , Tennesse nchini Marekani kuonekana katika video wakimpiga mwanaume mmoja ambaye alifariki baadae.

Raia wa Nigeria wanajiandaa kuchagua rais wa nchi, wabunge na magavana Februari 25 huku hali ya rushwa na usalama kuendelea kuwa hali isiyoridhisha.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG