Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Machi 27, 2023 Local time: 17:07

VOA ikishirikiana na NBA wanakuletea michuano ya 3 ya BAL 2023


VOA ikishirikiana na NBA wanakuletea michuano ya 3 ya BAL 2023
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:33 0:00

VOA ikishirikiana na NBA wanakuletea michuano ya 3 ya BAL huko Dakar,Senegal Machi 11 had 21, 2023.

Katika kanda ya Sahara vile vile tutakuletea michuano ya kanda ya Nile katika jiji la Cairo Misri kuanzia Aprili 26 hadi Mei 6. Na fainali zitafanyika Kigali, Rwanda kuanzia Mei 21 hadi 27 mwaka huu. Nchi 54 timu 12 lakini mshindi mmoja. Ni michuano ya tatu ya BAL 2023 -Dakar, Cairo na Kigali Usikose kujiunga nasi katika mtandao wetu wa VOASWAHILI.COM

#BAL, #BALonVOA, #NBA, #basketball

XS
SM
MD
LG