Viongozi wa kidini na kisiasa walaani shambulizi katika kanisa la Joy Jesus mtaa wa Likoni , Mombasa ambapo watu wanne waliuwawa na 21 kujeruhiwa
Viongozi wa kidini walaani shambulizi la kanisani Mombasa

1
Polisi wa Mombasa wapita mbele ya watu wanaosimama nyuma ya eneo la usalama mbele ya kanisa ambalo washambuliaji waliwafyetulia risasi waumini, Likoni Mombasa, March 23, 2014.

2
Makachero na polisi wa Kenya wakikagua eneo la shambulizi ndani ya kanisa baada ya washambuklizi wawili kuingia na kuwashambulia waumini, Likoni, Mombasa on Sunday a

3
Polisi akipita ndani ya kanisa baada ya wasahmbulizi kuwashambulia waumini mjini Mombasa, March 23, 2014.

4
Daktari katika hospitali ya Coast General akimhudumia moja wapo wa watu walojeruhiwa wakati wa shambulio ndani ya kanisa mtaani Likoni Mombasa March 23, 2014.