Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 11:07

Vijana wa Afrika waaswa kutumia vyema mitandao ya kijamii


Vijana wa Afrika kusini
Vijana wa Afrika kusini

Ujumbe huu umetolewa kwa vijana nchini Kenya baada ya kuwasili kwa kundi la vijana kutoka Afrika kusini chini ya mradi wa building bridges kuangazia miradi kadhaa ya vijana wa Kenya

Vijana barani Afrika wamehimizwa kutumia mitandao ya kijamii kujinufaisha na wala sio katika mambo yasiyokuwa na faida.

Ujumbe huu umetolewa kwa vijana nchini Kenya baada ya kuwasili kwa kundi la vijana kutoka Afrika kusini chini ya mradi wa building bridges kuangazia miradi kadhaa ya vijana wa Kenya na kunakili changamoto zao kabla ya kongamano la vijana kuandaliwa jijini Nairobi mwaka huu.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:06 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Itakumbukwa kuwa shutuma nyingi zidi ya matumizi mabaya ya mitandaoni zimetolewa katika maeneo mengi duniani. Mwandishi wa Voa Swahili mjini Nairobi Liberty Adede ameandaa taarifa hii.

XS
SM
MD
LG