Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 07:38

Umati wa nchi za Kiafrika na Kiarabu kuiunga mkono Morocco


Umati wa nchi za Kiafrika na Kiarabu kuiunga mkono Morocco
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:51 0:00

Wakati Morocco itakapomenyana na ureno ikitafuta tiketi ya kuingia nusu fainali siku ya jumamosi wataweza kutegemea uungawaji mkono na mashabiki wanaosafiri kutoka nchini kwao kwenda Qatar.

lakini pia mamilioni ya watu katika bara la afrika na mashariki ya kati kufuatia ushindi wa penalty dhidi ya uhispania ulioushangaza dunia. Simba wa Atlas ndio timu ya Afrika waliobakia Qatar. Endelea kusikiliza ripoti kamili…

Makundi

XS
SM
MD
LG