Japokuwa serikali tofauti zimekuwa zikiendeleza miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu, walengwa wanaonekana kutofaidika. Ungana na Mwandishi wetu Zainab Said akieleza watu wanavyokabiliwa na tatizo hilo na nini kinachofanywa kulitatua tatizo hilo...