Kundi la kigaidi la Islamic State limedai kuhusika na milipuko miwili ya mabomu katika mji mkuu Kampala, yaliyouwa raia wawili, ofisa mmoja wa polisi na kujeruhi watu wengine 33, huku baadhi yao wakiwa mahututi. Kundi la IS limesema lilihusika na mashambulizi hayo mjini Kampala.
Matukio
-
Mei 27, 2022
Waziri wa Afya Senegal afukuzwa kazi
-
Mei 18, 2022
Rais mpya wa Somalia aishukuru Marekani
-
Aprili 22, 2022
Mchango wa Profesa Maathai katika maendeleo, demokrasia na amani
Facebook Forum