Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 09, 2025 Local time: 21:05

Rais Museveni aapishwa kwa mhula wa tano

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, leo ametawazwa kama kiongozi wa Uganda kwa muhula wa tano kwenye sherehe iliyohudhuriwa na maelfu ya watu mjini Kampala, wakiwemo Marais 14 kutoka barani Afrika pamoja na wageni wengine mashuhuri.

Kuapishwa kwake kunafuatia uchaguzi uliozua ubishi na ambao ulifanyika tarehe 18 Februari mwaka huu. Wapinzani wake Museveni pamoja na wadau wengine, wameutaja uchaguzi huo kuwa usio wa haki na huru.

Wliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na majirani wake, marais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta na John Pombe Magufuli wa Tanzania.

XS
SM
MD
LG