Wachambuzi wa kisiasa wanasema kuwa iwapo utakuwa ni uchaguzi wa haki na huru utaipelekea nchi hiyo kurejea katika uchumi imara baada ya kuporomoka na kudidimia uchumi huo katika kipindi cha utawala wa Rais wa zamani Robert Mugabe.
Zoezi la uchaguzi mkuu linaloendelea maeneo mbalimbali Zimbabwe
Wananchi wa Zimbabwe wanapiga kura katika uchaguzi mkuu Julai 30, 2018 wakati uchumi wa nchi hiyo umekabiliwa na changamoto nyingi.
5
Rais anaemaliza muhula wake, Emmerson Mnangagwa akifanya kampeni kabla ya uchaguzi wa urais Julai 30, 2018.
6
Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya, wakiwa ni sehemu ya watu 44 waliotumwa na umoja huo wakiwa Harare Juni 23, 2018, kabla ya kuanza kwa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Julai 30, 2018 nchini Zimbabwe.
7
Wapiga kura wa Zimbabwe wakiwa tayari kupiga kura katika uchaguzi mkuu Harare, Zimbabwe, Julai 30, 2018.
8
Mwananchi wa Zimbabwe akipiga kura yake katika uchaguzi mkuu Harare, Zimbabwe, Julai 30, 2018.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017