Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Juni 20, 2024 Local time: 20:49

Shambulizi la mabomu Uturuki

Waziri Mkuu wa Uturuki, Binali Yildrim, ametoa wito wa umoja wa kitaifa mapema Jumatano asubuhi ikiwa nchi yake inakumbana na ongezeko la vifo kutokana na shambulizi la kujitoa muhanga liliouwa watu 36 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Atartuk-Instanbul, huko Uturuki.


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG