Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
#habari
Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameshinda nafasi ya kuwa Spika baada ya kushinda uchaguzi uliohusisha wagombea kutoka vyama tisa vya siasa nchini humo