Las Vegas ni mji wa kitalii ulioko katika jimbo la Nevada, Marekani. Shambulizi hilo limetokea wakati wa tamasha la muziki katika hoteli ya Mandalay Bay Casino.
Zaid ya watu 58 wauliwa katika shambulizi la Las Vegas
Watu 58 wauwawa na zaidi ya 500 wajeruhiwa katika shambulizi la bunduki Jumapili huko Las Vegas, Marekani.
5
Mwanamke amekaa chini kwenye ukingo wa barabara huko Las Vegas akiangalia watu ambao wamejeruhiwa wakipelekwa hospitali baada ya tukio la shambulizi la risasi katika tamasha la muziki.
6
Rais Donald Trump akitoa tamko baada ya tukio la shambulizi la risasi huko Las Vegas, Octoba 2, 2017 akiwa ikulu ya Marekani, Washington
7
Polisi wakiimarisha ulinzi katika eneo la tukio la shambulizi la risasi la Las Vegas baada ya tukio.
8
Polisi wakiwashauri watu kutafuta sehemu ya kujificha karibu na hoteli hiyo ya ufukweni ya Mandalay na Casino wakati shambulizi la risasi likiendelea Jumapili Oct 1, 2017 huko Las Vegas