Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 18, 2021 Local time: 14:30

Tafiti yathibitisha miti inapunguza kiwango cha joto duniani


Tafiti yathibitisha miti inapunguza kiwango cha joto duniani
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:48 0:00

Utafiti mwengine wa kisayansi umethibitisha kuwa miti inaweza kuleta matokeo mazuri katika kupunguza kiwango cha joto duniani kwa kuondoa hewa chafu kwenye anga.

Watetezi wa upandaji miti wanasema hili ni jambo ambalo wamelijuwa kwa miongo kadhaa na hatimae dunia sasa inafahamu bora Zaidi ujumbe huu.

Mwandishi wa VOA Mike O Sullivan ametuandalia ripoti ifuatayo inayosomwa na Aida Issa.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG