Utekelezaji wa makubaliano umeanza huko Syria siku ya Jumamozi lakini kumekuwepo na ripoti za mashambulizi ya hapa kwa pale.
Mashambuliyo yaripotiwa Syria licha ya makubaliano ya usitishaji mapigano
1
Mtu anakagua shati la kijana wake aliyeuliwa kutokana na shambulio la ndege katika mji unaoshikiliwa na waasi wa Damascus, Syria, Feb. 27, 2016.
2
Kijana akikagua nyumba iliyoharibiwa kwa shambullizi katika mji unaoshikiliwa na kiunga cha Douma, mjini Damascus, Syria, Feb. 27, 2016.
3
Lt.-Gen. Sergei Rudskoi afisa wa jeshi la Russia akizungumza na waandishi habari Moscow, Feb. 27, 2016.
4
Majumba yaliyo haribiwa na mabomu huko Homs, Syria, Feb. 26, 2016.