Kufuatia ushindi huo, timu ya Sueden inachuka na fasi ya kwanza katika kundi F sawa na Mexico ambayo iliilaza jumapili Ujerumani kwa bao 1-0. Ujerumani na korea kusini hawajapata puenti hata moja.
Ujerumani ambao ni watetezi wa kombe la dunia la 2014 watakutana na Sueden jumamosi tarehe 23 juni katika mchezo wao wa pili ambao wanalazimika kushinda ili kua na fursa ya kuendelea kwenye mzunguko mwengine.
Tunisia, timu nyingine ya Afrika itamenyana na Uingereza katika kundi