Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Oktoba 19, 2021 Local time: 03:17

Sudan Kusini yafanya mazungumzo na IMF na WB


Sudan Kusini yafanya mazungumzo na IMF na WB
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:07 0:00

Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Rebeca Nyandeng de Mabior amesema kuwa timu yake imekuwa ikikutana na marafiki wa Sudan Kusini mjini New York.

Amesema inakutana na Benki ya Dunia na Shirika la Kimataifa la Fedha ili kuzunguzmia juu ya utekelezaji wa mkataba wa amani wa Sudan Kusini wa mwaka 2018 na kutaka msaada wao.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG