Sama Lukonde asema serikali ya Tshisekedi inajitahidi kuleta usalama DRC
Akiandamana na viongozi mbalimbali kutoka mikoa miwili ya mashariki ya DRC, ikiwemo Ituri na Kivu kaskazini, Sama Lukonde aeleza kuwa serikali ya Rais Tshisekedi inajitahidi kuhakikisha usalama unarudi mashariki ya Congo, ambako kumeandamwa na makundi y waasi. Endelea kusikiliza ziara hii muhimu...