Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 23, 2023 Local time: 08:32

Russia yatafsiri ziara ya Zelenskyy Marekani kama ni vita visivyo vya moja kwa moja


Russia yatafsiri ziara ya Zelenskyy Marekani kama ni vita visivyo vya moja kwa moja
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amewaambia waandishi wa habari kwamba ziara ya Zelenskyy mjini Washington inaonyesha Marekani inapigana vita hivyo dhidi ya Russia lakini si moja kwa moja.

Russia imesema alhamisi hakuna dalili za utayari kwa amani kutoka katika ziara ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy mjini Washington.

Hali ya maisha mashariki ya DRC inazidi kuwa ngumu kutokana na kundi la waasi wa M23 kufunga njia zote muhimu kupeleka bidhaa na chakula upande wa kaskazini wa Kivu Kaskazini...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG