Rais wa Sudan Kusini alituma rasmi wanajeshi huko mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujiunga na kikosi cha kanda cha Afrika Mashariki kwa lengo la kumaliza miongo kadhaa ya umwagaji damu nchini humo. Je, ni zipi changamoto ambazo zinakabili kikosi cha Afrika Mashariki kinacholinda amani huko DRC. Ungana na mwandishi wetu akikuletea repoti kamili juu ya wasia wa Rais Kiir kwa jeshi lililotumwa huko DRC kukabiliana na uasi. Endelea kusikiliza...