Familia nchini Malawi zilifanya mazishi yenye hisia nzito siku ya Jumatano kuwakumbuka na kuwazika waathirika huku rais wa nchi hiyo akiitaka jumuiya ya kimataifa kusaidia. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili ya janga hilo lililoletwa na Kimbunga Freddy.