Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 28, 2022 Local time: 21:36

Putin atangaza ushindi wa kutekwa Mariupol, Ukraine


Putin atangaza ushindi wa kutekwa Mariupol, Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:45 0:00

Rais wa Russia Vladimir Putin Alhamisi amedai ushindi katika mapigano mkubwa kwenye vita ya Ukraine na akitangaza kuwa mji wa bandari wa Mariupol umekombolewa.

XS
SM
MD
LG