Rais Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho kwa taifa kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago siku ya Jumanne usiku mbele ya maelfu ya wafuasi wake. Alizungumzia mafanikio yake ya miaka minane na kuwahimiza wananchi kuendelea kujihusisha na siasa.
Rais Obama atoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani

1
Rais Barack Obama akishuka kutoka ndege ya rais Air Force 1 akiwasili Chicago kutoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick, Jan. 10, 2017.

2
Rais Barack Obama akiwasili kutoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

3
Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.

4
Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.
Facebook Forum