No media source currently available
Mwanaharakati mwanamke Sudan aeleza jinsi polisi walivyokuja kumkamata wakati akiwa bafuni huku wakikaidi ombi la mama yake wamuachie avae nguo kabla ya kumchukua.