.
Shambulio katika afisi za jarida la "Charlie Hebdo" mjini Paris
1
Wazima moto wakimbeba muathiriwa mmoja kwenye machera katika eneo la shambulio nje ya ofisi ya jarida la Charlie Hebdo, mjini Paris Jan. 7, 2015.
2
Wazima moto wakimbeba muathiriwa mmoja katika eneo la shambulio nje ya ofisi ya jarida Charlie Hebdo, Paris, Jan. 7, 2015.
3
Mtu anasoma toleo jipya la jarida la vichekesho la Charlie Hebdo baada ya washambulizi kuwauwa watu 12. Paris, Jan. 7, 2015.
4
Rais wa Ufaransa Francois Hollande akiondoka ikulu ya rais ya Elysee Palace kwenda kutembelea ofisi za jarida la vichekesho za Charlie Hebdo, baada ya kushambuliwa na watu wawili. Paris, Jan. 7, 2015.