Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 00:58

Nyakati Tano za Kukumbukwa zaidi za Afrika katika Kombe la Dunia


Nyakati Tano za Kukumbukwa zaidi za Afrika katika Kombe la Dunia
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:00 0:00

Timu za kandanda za Afrika zimetajwa katika vichwa vya habari katika michuano ya Kombe la Dunia tangu Misri iliposhiriki kwa mara ya kwanza mwaka 1934.

Ikianza na Zaire kufuzu kwa mara ya kwanza mwaka 1974 hadi Senegal kuwashangaza mabingwa watetezi wa dunia Ufaransa mwaka 2002, kandanda ya Afrika haijaacha kuwasisimua mashabiki wake kwa mechi zake za kuvutia.

Angalia mechi tano kuu za Afrika katika jukwaa kubwa kabisa la mpira wa miguu

Makundi

XS
SM
MD
LG