A look at the best news photos from around the world.
November 5, 2015
![Rangi ya majani yabadilika msimu wa baridi unavyokaribia karibu na ofisi za VOA Washignton DC.](https://gdb.voanews.com/13aafbd4-4fd1-4e95-8a5c-3453a406c6c5_w1024_q10_s.jpg)
1
Rangi ya majani yabadilika msimu wa baridi unavyokaribia karibu na ofisi za VOA Washignton DC.
![Mwanajeshi wa Australia akicheza tarumbeta wakati wa maadhimisho ya miaka 100 ya mchezo wa kriketi.](https://gdb.voanews.com/068850ec-3399-45c1-8e62-d2c16331f50d_w1024_q10_s.jpg)
2
Mwanajeshi wa Australia akicheza tarumbeta wakati wa maadhimisho ya miaka 100 ya mchezo wa kriketi.
![Ukuta usio wa kudumu unakinga michoro ukutani kwenye sehemu inayovutia watali katika ukuta wa Berlin Ugerumani.](https://gdb.voanews.com/a9f0b0e6-313c-4f00-93c4-3fb52a8748cc_w1024_q10_s.jpg)
3
Ukuta usio wa kudumu unakinga michoro ukutani kwenye sehemu inayovutia watali katika ukuta wa Berlin Ugerumani.
![Wanaume waketi kwenye ubao mkubwa wa kuandikia matokeo wakati wa mechi ya kirafiki ya kriketi kati ya Zimbabwe na Bangladesh.](https://gdb.voanews.com/8619cc60-cfe0-4341-b720-a355f97c6092_w1024_q10_s.jpg)
4
Wanaume waketi kwenye ubao mkubwa wa kuandikia matokeo wakati wa mechi ya kirafiki ya kriketi kati ya Zimbabwe na Bangladesh.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017