A look at the best news photos from around the world.
November 16, 2016

1
Vifaa na maua ya kumbukumbu mahali pa tukio la shambulizi la kigaidi Paris, Ufaransa.

2
Rais wa Ufaransa Francois Hollande akinyamaza kwa dakika moja kuwakumbuka wote walioathiriwa na makasa wa shambulizi la kigaidi mjini Paris kabla ya kutoa hotuba kwenye ukumbi wa Versailles castle.

3
Gurudumu lililorembeshwa lazunguka usiku kwenye mji wa Paris.

4
Wanafunzi wa shule za upili wakiandamana karibu na Le Mans, kaskazini magharibi mwa Ufaransa ikiwa kumbukumbu ya watu 129 waliouwawa na watu wanaodaiwa kutoka kwa kundi la Islamic State.