Mkazi wa Dandora mjini Nairobi anaeleza namna mto unaopita katika mtaa wao ulivyokuwa msafi walivyokuwa wadogo kiasi cha kuuvuka bila ya kuvaa viatu. Lakini anaeleza hivi sasa uchafuzi wa mazingira umefanya kuwa na chupa na takataka nyingine na hivyo watoto hawawezi kuvuka pekupeku kama ilivyokuwa zamani. Endelea kusikiliza.