Robert Gabriel Mugabe,ametawala Zimbabwe tangu taifa hilo kujinyaukulia uhuru wake mwaka 1980. Anaondoka madarakani akiwa kiongozi mzee kuliko mwengine yeyote duniani.
Maisha ya Robert Mugabe madarakani Zimbabwe

1
Robert Mugabe kiongozi mwenza wa wapiganaji wa uhuru wa Patriotic Front akiwa kwenye mkutano na waandishi habari mjini London, Dec. 19, 1979, alipotangaza kwamba amefikia makubaliano na mwenzake Joshua Nkomo katika mazungumzo ya Lancaster House juu ya katiba mpya na kipindi cha mpito kuelekea uhuru.

2
Robert Mugabe, msemaji wa Zimbabwe African National Union ZANU yenye makao yake Msumbiji, akizungumza March 1975.

3
Rais Jimmy Carter wa Marekani akutana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe Robert Mugabe katika White House Washington, August 27, 1980.

4
Zimbabwean Prime Minister Robert Mugabe, right, and Yasser Arafat, left, pose for photos after being garlanded by two 10-year-old school girls, Jean Chitanda, left, and Tsitsi Chikasha, on Arafat's arrival at Harare Airport, Zimbabwe, April 14, 1987, to attend a meeting of the Non-aligned Movement's Committee on Palestine.