Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 06, 2024 Local time: 04:44

Moise Katumbi afanya kampeni ya uchaguzi Bukavu


Moise Katumbi afanya kampeni ya uchaguzi Bukavu
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:47 0:00

Kampeni ya uchaguzi ikiwa imefikia wiki yapili Nchini DRC, Mgombea Moise Katumbi amewasili mjini Bukavu kujieleza mbele ya wakazi.

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mgombea Urais Moise Katumbi Chapwe yuko ziarani mjini Bukavu ndani ya Jimbo la Kivu kusini kufanya kampeni yake ambapo amehotubia raia Jumatatu jioni akiwaahidi kwamba ikiwa watamchagua kuwa Rais Mpya wa Nchi hiyo atarejesha amani mashariki mwa Nchi hiyo nakuleta maendeleo na mabadiliko makubwa. Kutoka Bukavu, Mitima Delachance ametutumia ripoti :

Forum

XS
SM
MD
LG