Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 06:52

Mamilioni ya mahujaji Wahindu wakoga kwenye mto Ganges

Wahindu wamewasili kuhiji kwenye mto wa Ganges ambao ni mtakatifu kwao, wakiadhimisha kuanza kwa sherehe kubwa kabisa za kidini duniani. Sherehe za Kumbh Mela zinafanyika kila baada ya miaka 12 na takriban watu milioni 100 wanatarajiwa kusanyika huko katika siku 55 zijazo ili kukoga ndani ya mto Ganges..

Makundi

XS
SM
MD
LG