No media source currently available
"Ninaweza kuwa mtu mweusi wa kwanza kuwa mbunge lakini siweki uzito mkubwa kwenye rangi, ni suala jepesi, ni muhimu zaidi kwangu kuwa mimi ni raia wa Ugiriki kwa hiari. Ni chaguo langu kuwa raia wa Ugiriki..."