Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 17:28

Mchumi: Athari za vita ya Ukraine siyo wingu linalopita


Mchumi: Athari za vita ya Ukraine siyo wingu linalopita
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:31 0:00

Mchumi wa Tanzania aeleza ni wakati mzuri nchi za Kiafrika kujiandaa na kuangalia kwamba vita ya Ukraine siyo vita ambayo itakwisha kesho na athari zake zitaendelea kwa muda mrefu.

XS
SM
MD
LG