Wafnayakzi kote duniani isipokua Marekani wameshiriki katika sherehe mbali mbali za Siku ya Kimataifa ya Wafanayakzi, wakidai nyongeZa za mishahara na mazingira bora ya kazi. .
Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani - May Day

1
Mtu aliyeshiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi akiruka maji yanayofyetuliwa na maafisa wa usalama wakati wa mapambano yaliyozuka kati ya polisi na waandamanaji mjini Istanbul, Uturuki, May 1, 2013.

2
Polisi wa kupambana na ghasia wa Uturuki wakikabiliana na waandamanaji siku ya wafanyakazi "May Day" pkati kati ya mji wa Istanbul, Uturuki, May 1, 2013.

3
Mtu akibeba bango la picha ya kiongozi wa zamani wa Urusi Joseph Stalin wakati wa maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani mjini St. Petersburg, Russia, May 1, 2013.

4
wafuasi wa mungano wa kisiasa wa Albanian wa Red and Black Alliance wakiimba na kutoa maneno ya upinzani mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu mjini Tirana. May 1, 2013.