Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 07, 2022 Local time: 20:41

Mataifa yaomboleza kifo cha Augustine Mahiga Tanzania

Salam za rambirambi zaendelea kumiminika kutoka kwa mabalozi wa nchi za Uingereza, Canada, Ufaransa, Sweden na Uchina nchini Tanzania.

Wanadiplomasia hao wameeleza masikitiko yao kwa taifa la Tanzania kuondokewa na mwanadiplomasia mkongwe aliyebobea katika harakati za diplomasia Afrika na ulimwenguni kote.

Mungu ailaze roho ya marehemu Mahiga mahali pema.

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG