Mashindano hayo yamehudhuriwa na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgeni rasmi katika mashindano hayo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Ali Mwinyi.
Viongozi wengine waliyoshiriki ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa na Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi Ally na viongozi mbalimbali wa dini nchini Tanzania.