White House imesema katika tamko lake kuwa kukubali kwa Uturuki kununua mfumo huo wa S-400 unaharibu ahadi yake ya kuwa mwanachama wa umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya, NATO.
Lakini maafisa wa Marekani wamesema pia kuwa Uturuki bado inabakia kuwa ni mshiriki muhimu kimkakati na ushirikiano wa kiusalama utaendelea.
Facebook Forum