Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 15:22

Marekani: Chama cha Republikan kwa siku ya tatu chashindwa kumchagua Spika


Marekani: Chama cha Republikan kwa siku ya tatu chashindwa kumchagua Spika
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:19 0:00

Kwa siku ya tatu chama cha Republikan kimeshindwa kumchagua Spika wa kuongoza Baraza la Wawakilishi Marekani.

Kwa siku ya tatu chama cha Republikan kimeshindwa kumchagua Spika wa kuongoza Baraza la Wawakilishi Marekani. Kiongozi wa chama hicho ameshindwa kupata kura za kutosha. Shinikizo linaendelea. Ijumaa mzunguko wa 12 wa kumchagua spika wa baraza la wawakilishi Marekani umeanza na hakuna mgombea yeyote aliyepata kura 218 zinazohitajika. Wabunge 435 wa Marekani wameanza mzunguko wa 12 kumchagua spika wa baraza la wawakilishi ambapo hakuna matumaini kwa Kevin McCarthy kupata ushindi licha ya kufanikiwa kuongeza kura chache kutoka kwa wapinzani wake. Endelea kusikiliza historia ya uchaguzi wa Spika wa Marekani na yale ambayo yanatarajiwa kutokea kutoka kwa mchambuzi wetu. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG