Breaking News
Jumamosi, Novemba 14, 2026 Local time: 04:57

Manusura wa vita vinavyoendelea Sudan waeleza madhila waliokutana nayo wakikimbilia Chad


Manusura wa vita vinavyoendelea Sudan waeleza madhila waliokutana nayo wakikimbilia Chad

No media source currently available

Baadhi ya wale walionusurika katika vita vya Sudan vinavyoendelea wanaeleza madhila waliokutana nayo wakati wakikimbia vita kuelekea nchini Chad.

Idadi ya vifo kutokana na tetemeko kubwa la ardhi siku ya mwaka mpya Japan imeongezeka na kufikia zaidi ya watu 60.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

​
XS
SM
MD
LG