Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 00:12

Makamanda wa DRC na Uganda wapitia tena operesheni dhidi ya waasi


Makamanda wa DRC na Uganda wapitia tena operesheni dhidi ya waasi
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Makamanda wanao ongoza operesheni Suja huko Beni, Kivu Kaskazini, mashariki mwa DRC ambao ni muungano wa Jeshi la Uganda, UPDF na Jeshi la Congo, FARDC wamekutana Mjini Beni Kivu kaskazini Jumatatu kutathmini operesheni dhidi ya waasi.

XS
SM
MD
LG