No media source currently available
Wiki hii katika Maisha na Afya Mkamiti Kibayasi anaangalia suala la watu wengi barani Afrika kuhofia kupata chanjo za magonjwa mbali mbali.