Kifo cha kusikitisha cha Tyre Nichols kijana mweusi wa umri wa miaka 29 kutokana na kupigwa na polisi kikatili mwezi uliyopita. Kifo chake kimezusha tena mjadala kote Marekani kuhusu ukatili wa polisi na pia kuashiria kuwa maandamano ya kitaifa ya 2020 kufuatia mauaji mengine yaliyofanywa na polisi hayakusaidia katika kuleta mageuzi.
Matukio
-
Machi 17, 2023
Mhandisi wa ndege kutoka Burundi ashinda tuzo Marekani
-
Machi 10, 2023
White House yatoa tuzo kwa wanawake wajasiri duniani
-
Machi 03, 2023
Wabunge wa Marekani kuanzisha uchunguzi dhidi ya China
-
Februari 17, 2023
Tamasha la makabila ya asili ya wenyeji Marekani