Polisi walifunga njia kadhaa muhimu katika mji mkubwa wa Cameroon wa Douala ili kuzuia maandamano ya kuwaunga mkono wakazi wa majimbo yanayozungumza kingereza nchini humo yanayodai uhuru wao.
Polisi wa Cameroon wazuia maandamano ya Douala

1
Polisi wa Cameon wapiga doria katika barabara kuu ya mji wa Douala kuzuia mandamano siku ya jumamosi 21 octobre 2017.

2
Mmoja ya waandamanaji akilalamika mbele ya kamera wakati wa maandamano, le 21 octobre 2017.

3
Watu walojitokeza na mabango kwa ajili ya maandamano mjini Douala, 21 octobre 2017.

4
Mmoja ya waandamanaji akilalamika walipozuiliwa na polisi wa Douala le 21 octobre 2017.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- UNGA
- AFCON 2017
Facebook Forum