Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 25, 2024 Local time: 16:41

Kobe Bryant mwaka 1978 - 2020

Kobe Bryant, ambaye ulimwenguni anajulikana kuwa mmoja wa wachezaji bora wa mpira wa kikapu, alikufa katika ajali ya helikopta Kusini mwa California Jumapili, akiwa na umri wa miaka 41.


Nyota huyo wa kipekee ambaye aliacha masomo ya sekondari na kujiunga na ulimwengu wa daraja la juu wa mpira wa vikapu. Bryant alishinda ligi kuu tano za mashindano ya NBA akiwa na timu ya Los Angeles Lakers na kupata umaarufu wa mchezo huo katika kipindi cha miaka ishirini ya uchezaji wake.

Bryant na mkewe, Vanessa, wana watoto wanne: Gianna, Natalia, Bianca na Capri, ambaye alizaliwa Juni 2019.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG