Raia waombwa kuhakikisha wana akiba ya maji ya kunywa, vyakula vya makopo na kujitayarisha kukaa bila ya umeme kwa siku kadhaa.
Kimbunga Sandy kuleta madhara Marekani

1
Kushoto hadi kulia ni Denitsa Nakova, Abraham Robles, Laura Carrasco and Marilyn Rodriguez wakikoshwa na wimbi la maji mjini Milford, Connecticut wakati kimbunga sandy kinawasili October 29, 2012.

2
Wimbi kubwa la kumba ufukwe wa pwani ya mji wa Bridgeport, Connecticut, kutokana na kimbunga Sandy October 29, 2012.

3
A man walks into the wind across the Hudson River from the skyline of New York in Hoboken, New Jersey, October 29, 2012.

4
Some stores sold out their water hours before Sandy struck, Monday, October 29, 2012. (VOA / A. Phillips)