Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 18, 2024 Local time: 19:49

Wakili Kamau Mbugwa wa Kenya azungumzia Uchaguzi Marekani


Wakili wa Kenya na mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Kamau Mbugwa, alizungumza na Sauti ya Amerika kuhusu uchaguzi wa Marekani.
Wakili wa Kenya na mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Kamau Mbugwa, alizungumza na Sauti ya Amerika kuhusu uchaguzi wa Marekani.

Katika mfululizo wa makala zetu juu ya uchaguzi wa 2016 wa Marekani, tunaangazia usawa wa jinsia ambao ni moja ya maswala nyeti ambayo yamekuwa yakijadiliwa mno na wapiga kura huku uchaguzi wa tarehe nane mwezi Novemba ukizidi kukaribia.

Je Wamarekani wanasemaje? Vile vile katika makala haya, wakili Kamau Mbugwa wa Kenya, ambaye pia ni mchambuzi wa maswala ya siasa za Kimataifa, alifuatilia kwa karibu mdahalo wa wagombea urais uliofanyika katika chuo kikuu cha Las Vegas, jimbo la Nevada, usiku wa Jumatano, anatoa tadhmini yake.

please wait

No media source currently available

0:00 0:07:46 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG