Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Julai 23, 2024 Local time: 16:43

Mtu mmoja auawa nje ya ubalozi wa Marekani nchini Kenya


Mwili wa mtu aliyeuawa kwa kupigwa risasi nje ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi Oct. 27, 2016.
Mwili wa mtu aliyeuawa kwa kupigwa risasi nje ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi Oct. 27, 2016.

Mtu mmoja alipigwa risasi na kuuawa nje ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi, nchini Kenya, siku ya Alhamisi.

Vyombo vya habari nchini Kenya viliripoti kuwa mtu huyo ni wa asili ya Kisomalia na anashukiwa kuwa mwanamgambo wa Al-Shabaab.

Huyu hapa mwandishi wa Sauti ya Amerika mjini Nairobi, Kennedy Wandera..

please wait

No media source currently available

0:00 0:01:26 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG