Maandamano ya wanafunzi Nairobi kuhusu ufungwaji shule yakabiliwa na mabomu ya moshi
Maandamano ya wanafunzi, Nairobi, Kenya Sept. 22, 2015

1
Mwanafunzi akiwa anakamatwa na askari kanzu wakati wa maandamano, Nairobi, Kenya, Tuesday, Sept, 22, 2015.

2
Mwanafunzi atimua mbio baada ya polisi kulipua bomu la machozi.

3
Bomu la machozi limerindima, wanafunzi watimua mbio.

4
University students carry stones to block roads on the main Uhuru Highway, during a demonstration in Nairobi, Kenya, Tuesday, Sept, 22, 2015.